Uwekezaji Katika Masoko ya Hisa Kwa Wanaoanza na Wasiyokuwa na Elimu
Unajua unachohitaji ili uanze kufanya uwekezaji, kwakuwa hutoweza kuendelea kufanya kazi maisha yako yote. Bila shaka hutaki kuwa mfanyakazi mzee anayefanya kazi ya kupokea wageni katika moja ya maduka makubwa. Pia itakuwa inafadhaisha sana na kuhuzunisha ikiwa huna uhakika wa uchumi wako hapo siku za usoni. Mara nyingi muda uwa unakimbia kila unapozidi kuwa mtu mzima na hakuna kuchelewa linapokuja suala la kuanza. Lakini kuanza ndilo linaweza kuwa tatizo lako kubwa. Kuna taarifa nyingi na pia kuna matapeli wengi ambao wanajaribu kukushawishi ufanye uwekezaji kwenye makampuni yasiyoeleweka. Pia huna muda wa kutosha wa kufuatilia kila kitu mwenyewe, kwakuwa inaelekea ni mambo magumu sana na yasiyoeleweka. Hata hivyo, ukifanikiwa kushughulikia uwekezaji katika maisha, bila shaka maisha yako yataboreka kwa kiasi kikubwa. Utapata utulivu wa kiakili pale unapofikiria kuhusu maisha yako ya mbeleni na pia utakuwa na ujasiri wa kufanya maamuzi bora katika uwekezaji. Pia utakuwa na maarifa ya kuzungumza kisomi na rafiki zako pamoja na washauri wa kifedha, hivyo itakuwa rahisi kwako kung'amua haraka pale mtu anapokupatia taarifa zisizo sahihi. Nitaanza na mambo ya msingi, kama nini maana ya hisa na ni jinsi gani masoko ya hisa hufanya kazi. Baada ya hapo nitahamia katika kueleza ni jinsi gani unavyoweza kutengeneza pesa kupitia masoko ya hisa, nitakupatia baadhi ya hisa ambazo hunabudi kuwa nazo kwenye orodha yako na baadhi ya taarifa za uongo na makosa utakayokutana nayo wewe kama mwekezaji.
-
Autore:
-
Editore:
-
Formato:
-
Lingua:Swa
Formato:
Gli eBook venduti da Feltrinelli.it sono in formato ePub e possono essere protetti da Adobe DRM. In caso di download di un file protetto da DRM si otterrà un file in formato .acs, (Adobe Content Server Message), che dovrà essere aperto tramite Adobe Digital Editions e autorizzato tramite un account Adobe, prima di poter essere letto su pc o trasferito su dispositivi compatibili.
Cloud:
Gli eBook venduti da Feltrinelli.it sono sincronizzati automaticamente su tutti i client di lettura Kobo successivamente all’acquisto. Grazie al Cloud Kobo i progressi di lettura, le note, le evidenziazioni vengono salvati e sincronizzati automaticamente su tutti i dispositivi e le APP di lettura Kobo utilizzati per la lettura.
Clicca qui per sapere come scaricare gli ebook utilizzando un pc con sistema operativo Windows